Manze jo hakuna haja ya guoko

August 23 2012 2:19pm     0 698

Photo Credit:Google   Tingua risto

Hii story ya ati Oromo na Pokomo wako na guoko juu ya ma ngombe na sijui woyes haileti shagwe...watu wajaribu kutulia...Kitu inakatsia ni ati kerende kubwa ile ime madwa ni ma mdhama na waniaju...Aibu kubwa tu sana!! kwa hawa wadhii wana guko

Related Stories