Uhunye confirmed kama orezo wa next wa 254

March 31 2013 10:32am     0 569

Photo Credit:Sunday Nation   Tingua risto

Finally Supreme Court ili amua ni nani ata kuwa orezo wa Kenya. After wiki mbekses za ma drama za kotiko, Wiliski na rende yake ya ma jajiko wali amua ati RAO na Kethi Kilosh hawana ene kwa hiyo kesi ya ku nyafi election ya Uhunye. Watu wengi waligwaya ati gwoko ita tokezea but wapi? ni kutu kiasi ndio zilikuwa na gwoko kabla RAO abonge. Tao na hizo ma place zili tulia after RAO ashow wadhi wake ati amekubalia verdict na maisha iendelee wakenya waishi pajamo.

Related Stories