Miaka Soh na siringi..

April 2 2013 12:07pm     0 447

Photo Credit:By Standard Digital   Tingua risto

Mzaee wa miaka soh huko Kiambu anadai anapenda githeri vimwenda na memory yake iko chonjo. Soma siri zake zaidi...Husyu Mzae anajulikana kama Nashon Gatheri, huyu mzae bado yuko strong kuruka na anatembea bila help ya msee lakini anatumia bakora kumbetea.

Nashon waifudhes wa kwake ali ukata 1996, na anadaisha anapenda sana kudema odhedhe. Wasee wengi wa hii age yake hawawezi taka ku come across msosi kama hii juu hawana meno za kutafuna.

Related Stories