Bike zimekubalishwa...lakini si kila area

April 3 2013 11:58am     0 163

Photo Credit:By Al jazeera   Tingua risto

Huko Saudi mamanzi wamekubalishwa kuride bike lakini kwa area zile gava itasema pekee.Kwa Islamic policies zinadaisha manzi hafai kuendesha dinga, baiki ama ndudhi. Lakini sasa gava ya Saudi ime allow wanaweza endesha baiki na ndudhi lakini specified places, kam kwa parks na place zenye wako mbali na pahali hapana machali wengi.

Related Stories