27 Dec 2012
Orismo mwenda huko ocha
Date leo ni 20th Dec. Mbuyu ame tuletea ma tiko za Easy Coach ame tu show tuna enda ocha kesho...
Chokola wa intanet
nu sikuwa na mood ya kuenda ocha juu ni last week tu nilikuwa nime angukia msus mnira na hata sija malo ku muingiza xob!
Peter Pata
Huyo msus alikuwa ni wa Pango na tulikuwa tume meet kwa funkie ya French huko Alliance Francaise.