23 Jun 2014

Dimba Ya Underdogs


Kitu tumekua tukijichocha nayo tangu June 12th hasapa mtaani ni juu ya Dimba iko Brazil. Kitu imekua clean ni vile team za nguvu zinachujwa ka vile....
leftie
leftie spain manze hiyo stori bado inaumiza roho
monde
monde wewe endelea ku umia roho, mimi na bambika sana niki cheki new kids on the block waki fanya mambo...
nace
nace wazi monde, enyewe wanafaa kuonyeshwa kuna talanta mwenda huko njei.............
Engineer
Engineer @Njesh, team ni #TeamDutch. Jisort!!
Okampohdeh
Okampohdeh @Njesh io ilikuwa tu blanda kiasi ntio iliwa dodndoa kwa torna ata mimi team yangu ilikuwa na wajunior wengi lakini nilibambika nao

  Adisia Line