Sheng Idiom
Paka mafuta
Meaning yake : To conIdiom usage : Ule bazenga amezoea kupaka mafuta watu = That old man he is used to con people
Words kama Paka mafuta
Paka — (pa-ka) [Verb]
Meaning yake: Con
Word use: We Karis we wacha!!! Una ni paka! hii mbota haiwezi kuwa two chwani! = Go away Kariuki! You are conning me! This watch can't be 250/-