Sheng Idiom
Kula ridhe
Meaning yake : To be shotIdiom usage : Ule sanse aliwakula ridhe wagondi wanne = That cop shot down four thugs
Words kama Kula ridhe
Ridhe — (Ree-dhe) [Noun]
Meaning yake: A bullet, bullets
Word use: Hao makarao wamekula maboys ma ridhe huko D = Those cops have shot boys in Dandora