Sheng Idiom
Cold case
Meaning yake : Cold foodIdiom usage : Maze nilifika kejani nika pata waifudhes hayuko... uskii ilibidi ni investigate cold case
Words kama Cold case
Zinja — (zee-n-jah) [Adjective]
Meaning yake: A very old person
Word use: We kwenda! Manzi yako ni ka zinja! = Go away! Your girlfriend is so old!