BABA YAO ameangusha videsa ya "Kuna Sheng"

July 15 2013 10:35am     0 1783

Photo Credit:By Fatma Pole   Tingua risto

Hapa 254, kuna wasanii few walianza career zao na Sheng na wamebaki true. Mmoja wao mwenye tunatambua sana ni Juacali ama ukitaka, Baba Yao! Jua ni msanii amekwama na Sheng na anajulikana for ngoma za nguvu sana from Ruka, Kamata Dem, na the latest...Kuna Sheng!

Sisi hasapa Go Sheng tumekua tukingoja kuona videsa ya hii ngoma latest, KUNA SHENG na finally ameiangusha. Audio yake alikua ameanua tene kiasi lakini haikuwa na videsa. Ngoma yenyewe inabonga kuhusu diversity na uniqueness ya Sheng....vile as much as iko different kwa kila mtaa, bado sisi wote tunaelewana!

Kwa wale wasee hawang'am Sheng, hajawasahau juu kuna vile videsa imesundwa hata subtitles! Yebi videsa hasapa chini, unaikenga kijea?

Related Stories