Ponyoka na Wife

July 30 2012 10:09am     4 41712

Photo Credit:Google   Tingua risto

Wangoso wana mambo...! Kuna hii riba tunaget kutoka mayolo kuhusu event nifla yenye imekua tangu enzi za tene. Hii event ni jamo ya traditions zinasemekana zimekua passed down from generation to generation na sasa imekua event jamo inakua celebrated so widely mpaka kuna day iko set aside kuido.

Kwa hii event, kuna hii game ya kukimbia na wife yako kwa mgongo...kupitia mafence, mtaro zimejaa waba, na winner anapata medal bana. Inasemekana ni tradition ilianza vile boy nifla thegi wakiwa na mabeshte wake, walikua wakipenya villages na wanasanya madem wenye wameenda kuget waba kwa rive. Walikua wanaget hao madem, wanaishia nao pudhu, ka wamewabeba kwa mgongo. As a tradition, huyo msus alikua anasemekana sasa amekua wife ya mwenye amemsanya.

Ni amazing kuna hio riba kutoka mayolo, juu pia ukicheki traditions zetu hasapa 254, kuna tribe pia walikua na similar activities, kukwachu wasupa time wameenda kwa rive, na ukikwachu mdem hio design umfikishe mtaani amekua wife wa kwako, hawezi rudi mtaani kwao kwa mapero.

On a lighter note, wakiweka hii kwa elections kama requirement inaweza kuaje?

Related Stories