Majina za mamtaa na pahali zilianzia

November 20 2013 1:52pm     0 444

Photo Credit: Kenya Researcher in History   Tingua risto

Kenya ikona ma tao mob sana na majina zingine interesting sana. Na tunaona majina mob zilitoklezea na mashida za matamshi, tucheki mtaa kama Dagoretti Corner. Zamo mlami alikuwa anasema The Great Corner lakini juu mwafo alishindwa kuitaja hisivyo, akasema Dagoretti Corner. Alafu kuna mtaa kama Thogoto, ilitokezea mlami alikuwa anapatambua kama The Church of Scotland. Sasa mperesa alishindwa kutaja jina Scotland aka taja Thogoto na ni jina hadi waleo inatambulika. Alafu kunayo inengi inajulikana kama Rumuruti. Hii ni place iko na husuko Laikipia County, palikuwa panatambulika kama 'Remote Route' sasa mwafo alishindwa kutamka Remote Route akadaisha Rumuruti.... Kuna example fogo sana za hii chida ya matamchi Unamesea pinga?

Related Stories