World Cup imeland hasapa 254

November 27 2013 9:19am     0 1769

Photo Credit:Daily Nation   Tingua risto

Hisihi trophy ya World Cup imeland hasapa kanairo leo na Orezo Uhunye ndiye atakuwa wakuipokea. Hisihi cup ni 18 carat ya ndechu.
Hii ndechu iko hasapa Kanairo kwa siku tatu na baada ya hapo ita head TZ. Wadhii wataweza kuiyebi na wakitaka, kupigwa mbisha na hii ndechu hasapo KICC kuanzia ngware hadi jioni ya 28th November 2013.
Coke ndio campu imesponsor hii ndechu kuland hasapa ka gift yao to wadhii wa 254 kucelebrate 50th Jubilee celebration za independence.
Sio mara ya fao Kenya ina host hii cup, ni mara ya seko. Time ya fao ilikuwa two thao na nine(2009), time Obako ndio alikua orezo na cup yenyewe ilikua ina head S.A. juu ya World Cup pia. Hisiyo mbisha iko hasapo ni legend wa futa kutoka Brazil anajiita Bebeto. Soccer World Cup ya hii raundi ita hostiwa husuko Brazil.
Unaona hasapa 254 tutapata chance ya kuhost hisizi games when?

Related Stories