P-Unit wakapenya na awards mbee

December 2 2013 11:58am     0 459

Photo Credit:Steve Muendo   Tingua risto

On sato kulikuwa na Channel O Music Awards, na tunacheki hii rende inajiita P_Unit akina BonEye,Frasha na Gabu. Wali manage kupenya na awards mbili, moja ikiwa Most Gifted East African Video award juu ya ile ngoma yao You Guy(Dat Dendai) alafu award ya pili ilkuwa Most Gifted Ragga Dance Hall Video bado na hiyo ngoma.Hii ni mara ya fao Kenya kushinda hii award juu mara most utapata huendea side ya wasee wa West Africa ama South Africa.Bado kulikuwa na Kenyans wengine kama Sauti Sol, Victoria Kimani, Xtantic na STLlakini hawaku manage kupenya na ene.

Related Stories