P-Unit na ngoma mbichi

December 18 2013 2:12pm     0 350

Photo Credit:Super User   Tingua risto

Baada ya ku win award sasa hii kirende imeangusha ngoma ingine mbichi inajiita LOVE.Wanadai wamekuwa wakiangusha magoma za kubanjuka tu club,lakini saa hii wameamua ku muja na taste inengi tofauti.Ata ivyo ngoma yenyewe ni noma, haina videsa bado lakini unaweza skiza through audio...tingua risto uweze kuiskiza.

Related Stories