Jua nini unado

January 16 2013 1:12pm     0 736

Photo Credit:Facebook   Tingua risto

Hawker nifla hapa jiji alibaki ameshangaa yake yote hii ndiwike after apatane na wenyewe. Ameingia joint kuskuma works tu ka kawaida, akayebi wathii nifla akaona hapa anaeza make mkwanja akiwauzia movie "mbichi local" - Nairobi Half Life. Kumbe anauzia actors wenyewe!!! Yebi vile kulienda

Related Stories