Nairobi Half life ... kwenye Oscars

October 9 2012 1:19pm     0 1981

Photo Credit:The East African   Tingua risto

Movie industry yetu hasapa 254 sasa tunaweza sema imefika kiwango ya kukua recognized mpaka majuu. Hii yote tunaweza sema ni juu ya movie jamo yenye ilinywaku raiya hasapa na pia majuu. Movie yenyewe ni Nairobi Half Life, movie inapeana story ya Mwas, boy nifla anatoka ocha, kukam jiji kutry kuget kakitu kuimpreove life yake na tunacheki hio struggle yake from akitoka ocha mpaka vile anapatana na life ya streets hapa jiji.

Na juu ya hii movie, finally ina kaa ni kama 254 itaingia ligi soo na itapata mention haija wahi pata kwa Oscar's ya next year. Director wa Nairobi Half life - Tosh, ata jipata kwa race na filo zinengi kama 70 kutoka all over the world.
Tuna wa wish all the best kwa hizo awards!

Related Stories