Ma arme wa UG ati wamedunda!!

August 13 2012 7:23pm     1 7029

Photo Credit:Cnn News   Tingua risto

Kuna tu heli twa UG ati tumelostia hapo Mt Kenya... Kuna ma soja ka wa saba wame seviwa, tunahope ma soja hao wengine wako poa!!

Inadaishwa heli ni tatu zenye zilidunda, first ilikuwa nu heli bwegz baadaye ya thado ikafwatia wakiwa wana head Somalia Peacekeeping. Ma soja mbao na jamo wamepatikana na sasa bado wasaba, juu kinayo heli jamo ime onekana ikiwa ime burn ile deadly.

But tuna hope wote watapatikana wakiwa kwa hali fiti, cause ya hizo heli kudunda inasemekana weather husuko haikuwa poa hata kidogo. Mt. Kenya ndio mountain ndefu sana hasapa 254, na ya seko hasapa Africa after Mt. Kilimanjaro ya Tz.

Related Stories