Drogba na Eboue kupanishiwa

December 9 2013 1:43pm     0 1424

Photo Credit:Lydia Njeri   Tingua risto

Baada ya Nelson Mandela kugenya, kila msee amekuwa akituma ma condolences kwa family na friends wa Mandela na wasee wa S.A. in general kutoka kila place kwa world. Sasa si Mandela aligenya usiku ya Thusday 5th December 2013 alafu Drogba wakiwa na mwenzake Eboue walikuwa na mechi.<br> Baada ya game kuisha walivua tisho zao za team na wakabaki na vest zenye zilikuwa zime andikwa "Thank You Madiba" yenye Drogba alikuwa amedunga mwenzake naye ilikuwa imeandikwa "Rest In Peace Nelson Mandela"<br> Sasa Turkish FA(TFF) ina dai kupea hawa maplayer wawili pano juu ya kuvaa nguo zikona massage kama hizo kwa mechi ya ball.<br> Unaona ni ka kina Drogba walido blanda ama ni pano ya kujichocha tu?

Related Stories