Rungata ya Mandela ni leo

December 10 2013 12:19pm     0 1508

Photo Credit:Daily Nation   Tingua risto

Leo wasee pamoja na ma Orezo,ma priest ma queen kimoja na ma Sheikh kutoka ma Countries tofauti wa gadha hasapo Soccer stadium siku za last za Mandela. Tuna yebi ma orezo all over the continet wamejitokeza kwa hii rungata. Hasapa kuna mambisha kadhaa za ma orezo wale wamesha land husuko S.A... Ni ma orezo kama Obama, akina Bush Mugabe kimoja na Mseveni Condolences kwa famere ya yote ya Mandela na wasee wote wa SA.

Related Stories