Kaka Sunguch kuanua album nira on Friday..

December 16 2013 3:25pm     0 2553

Photo Credit:Tony Sserwadda   Tingua risto

Rabbit aka Kaka Sungura sasa yuko timam kuanua album yake ya thado on Friday 20th 2013.Launch yenyewe itakuwa ina hapenia Louis Leakey Auditorium hasapo Museum Hill.Na Mc watakuwa akina JB Masanduku na Obina & Wakimani, alafu tiko regular ni thao jamo (ksh.1000) alafu za VIP ni thao mbekses(ksh.2000).Alafu kuna njia ingine ya kupata tiko, uki jiregister kwa sheng.co.ke kunavenye unaweza jishindia tiko sare. Fungua mwaka na album mbichi jo mtu nguyaz tupatane husuko Friday, katubambie husuko. Wasee wengine watakuwepo ni kama Sanaipei Tande, Wangechi na HHP hao ni kadhaa tu tumetaja.

Related Stories