Ma korona wanadai pension

December 19 2013 1:20pm     1 1954

Photo Credit:AFP   Tingua risto

Husuko Dutch, kunavenye makorona wanazusha ile mbaya. Wanadai pia hao wanataka pension perks kama ma footballer. Tunajua husuko Dutch ukorona inakuanga legal na hii ilikua kuanzia two thao (2000).

Makorona wanadai ni muhimu waget hio pension juu wanafanya kazi ngumu sana ya mwili, the same na ma footballer. Wanadaisha pia ni waks wanadunga wakiwa miaka zao prime juu pia ni janta hawawezi dunga forever...at some point itabidi wamekula bench.

Hasapa mtaani, bado risto ya makorona ni illegal, iko na madem wengi sana hapa jiji na hata kwa mamtaa...lakini gava haina any form of recognition kwa hii "oldest trade" Husuko Dutch, hao mapoko wakidaisha haki yao, walikua wameishia kotiko na wako mpaka na lawyer wao wa kuwatetea. Hii ni juu gava yao inawajua, na wanakanja mpaka taxes juu ya hii waks wanadunga.

Unaonaje juu ya hii risto? Tunafaa kuget recognition ya gava ndio makorona hasapa pia washughulikiwe ama?

Related Stories