Media blackout

December 24 2013 3:10am     0 580

Photo Credit:Go Sheng   Tingua risto

Kotiko jana ilipass ati digital migration lazima ihappen after kesi nifla yenye ma media house walipeleka kusortiwa ilibaki imetupwa njei na kotiko hizo ma media stenje zika showiwa zimbetee.

Wadhi walikuwa wana yebi telly around saa mbekses walibaki wame yebi ka notice kwa screen kakisema anaku transmission ya ma progi juu jajiko Majanja alipitisha ati kudigitika lazima iendelee.

Wadhi hawaja digitika sasa wame baki kwa giza unless wana want kuyebi KBC yenye haiku zima juu ni ya gava.

Kudigitika ilikuwa ina kataliwa na ma stenje juu kuna mtambo nifla wadhi wana faa kuboti na so far, kuna telly karibu mita mbekses zita need hiyo samo na zenye zili importiwa hazitoshi na ma stenje zenyewe pia haziko ready kabisa kubroadcast kwa digital.

Related Stories