Negotiate na jajiko saa zingine

May 17 2012 6:41pm     0 2230

Photo Credit:Google   Tingua risto

Mara most ka tuko kwa biz na hustle zetu za day to day, hua hakukosi risto jamo inaweza kusunda kwa noma juu ya kukorofishana na raiyaa wengine ama hata ujipate neti juu ya one thing or another.

Kuna zile risto mnaweza malizana befor usundwe neti, ama bila kuleta mabang'a wasaidie, lakini pia kuna zile noma, lazima riba ifike lembe kwa makarao. Hata risto ikifika kwa karao, kuna zile wanaweza daisha lazima stori iishie kotiko juu mmelemewa na kumaliza story kati yenu.

Sa judicial system yetu ni ya nguvu juu, kotiko hua ziko waks kuanzia Ndema hadi Friday. Hapo utapata kesi kiasi yake, from usanyaji, kutupa tako hado murder. Kwa hii rende yote kuna wasee ni ma first time offenders na kuna wale hio bez imekua ya daily hivi.

Ukijipata Kotiko ni poa utoe logic kiasi...ka kuambia jajiko juu ilikuwa attempted robbery, akupatie attempted sentence!!

Ama unayebi aje?

Related Stories