Know people! Kesi katemwa

October 19 2012 12:08am     0 1416

Photo Credit:Citizen News   Tingua risto

Nancy Baraza mwenye alikuwa Deputy Chief Justice sasa ame resign after adecide kutemana na risto ya ku appeal kuchujwa kwake waks after ali chujwa juu ya ku wanga Kerubo kibare.
Baraza amewika ati alitemana na risto ya ku appeal juu kuna ma jajiko nifla kwa hiyo kotiko wenye hawakuwa wana mfeelia poa design hawange mgei haki yake.

Related Stories