Pasii akatry kuwa Yesu!

January 8 2014 11:11am     0 521

Photo Credit:Buni   Tingua risto

Pasii anatambulika kama Franck Kabele, alikamanyuria akitry kushow wafuasi wake venye anaweza kuwa kama Yesu. Alidai ati ata anaweza tembelea juu ya waba na hadi akapeleka congregation yake kwa beach ya na husuko Gabon ndio wakiche hiyo miracle! Vile aliingia kwa hiyo woiyez alizama yake yote kama wadhii wanangoja kukemba miracle bana. Alafu kumbe haikuwa mara ya fao msee kujaribu risto kama hii. Kuna Prophet wa Nigeria pia alidai anaweza kuwa kama Daniel wa Bible, na akazidi kuenda kwa zoo kubonga na ma-lion. Ata kabla mgola ingatike, alikuwa ashararuliwa na kudemwa na hizo lion, ata mfupa zake hazikubaki. Kitu wanasahau ni ati wadhii wa God huwa hawamjaribu.

Related Stories