Kibare kutoka kwa msee wa Mungu

January 15 2015 11:32am     0 503

Photo Credit:Google   Tingua risto

Pasii mjamo kutoka New Jersey amekatsia wadhii sana baada ya kuhubiri akidai alivunja teenie nifla juu ya kubonga mbaya kuhusu Sir God. Akitambulika kama Pastor Eric Dammann, ameweza kuwai nickname ya; smack aleck, baada ya videsa ya hii risto kusmbazwa kwa internet.

Smack Aleck ni pasii wa Bible Baptism Church, na alidaisha kuchapa mniaju anaitwa Ben, mwenye alikuwa hachukulii God viserious wakiwa kwa Youth Group. Kumbe alifanya husuyu pasii kujam hadi akafyatuka na ikabaki ameangushiwa kibare ndio atambue God vipoa.

Wadhii waliyebi hiyo videsa wanazusha wakidai inafaa huyu mjamaa amebambwa on child abuse action. Na pia ikibidi achujwe chachiko juu anafundishana violence bana. Sema kukuwa kwa ngori ya kujitakia!

 

Related Stories