Rende ya Human Rights inazusha.

January 15 2014 10:22am     1 1712

Photo Credit:Nation Reporter   Tingua risto

Hii rende ya human rights inazusha juu ya vetting ya wadosi wa masanse,inasemekana hawa wasee wana vet wame turn out kukuwa ma auditors.Na ina take time sana na ni under expense ya Human Right Record,Medico- Legal Unit Director Peter Kiama alikuwa anadai hivyo. Kulingana na creteria ya ku vet kwa hawa karao 80,000, ni kuyebi human rights violation,corruption, competence, skills na experience bila kusahau finacial probity. Inasemekana makarao watatu wamechujwa juu ya kuchunguza account ya ma spouse wao pahali anatia janta hadi ocha na biashara zake.Human Rights NGOs zinadai time iextendiwe kiasi wapatiwe siku ashara sio saba kama venye iko.

Related Stories