Okota njumu, upate wife!

January 16 2014 9:47am     0 509

Photo Credit:Sabahi   Tingua risto

Imagine kama ungeweza pata wife mbio juu ya kuokota njumu za madem! Hii ni njaro inatumika na husuko Dadaab refuge camp. Riba yenyewe ilianzishwa na Sheikh, ndio wadhii waweze kuget madem bila hustle. Sa machali huenda njei ya mosque, wanajishindia njumu za mambuus alafu wanachill mwenye njumu atoke. Manzi akitoka maombi apate njuta zake zimeshikiliwa na boyz, inabidi wamemarika. Haitajalisha kama wanajuana au zii. Wadhii wanadai hii njaro ni poa sana juu hautawai kosa wife alafu pia si expe. Lakini mambuus wendine wanazusha, wakidai hawabambiki kulazimishwa kumarry wasee hawataki ama hawatambui.

Related Stories