Vitu usiwai nyima manzi wa kwako

June 30 2014 4:04pm     0 517

Photo Credit:Google   Tingua risto

Mdhama wa husuko makee ya Makutano, Kirinyaga County, aliamua kumada hazii wa kwake juu ya kitu unaweza daisha ni ufala. Lakini kwake lazima ilikuwa kitu massive, hadi akasahau akona mniaju wa miezi sita.

James Kibui, aligenya kwa mikono za wife yake juu ya kudinda kumbotia njumu za thao. Hii ni incident ilihappen ngware ya Sato June 28th, Zaik akitry kuenda waks, akapata gate imetingwa, so akarudi kwa jakes kuget key kutoka kwa wifey.

Kumbe huyo masa alikua amepangia hivyo, na akaanza kuzusha vitu haziko, kidogo mabishano ikageuka stabbing. By the time neighbor afike kwa scene, Mjamaa alikuwa amekamanyuria. Mavedi wamekamata huyo suspect na anasemekana ako stenje ya Sagana, pamoja na mniaju wake. Sijui amegain nini sasa kudedisha hubby!   

Related Stories