Kupenda mandai hadi zinakumada!

December 2 2013 11:23am     0 1753

Photo Credit:E! News   Tingua risto

Kila time ukiskia jina Paul Walker, anakukumbusha muvi jamo noma sana ya 'Fast and Furious.' Hii muvi imevuma juu ya mandai zile ziukuwa hasapo na venye ina risto ya wasee wanazidrive mbio kiumwenda. Sa blanda ni ati Paul amekaukata kwa accident na husuko Santa Clarita, Calif. Inasemekana alikuwa amebebwa na beshte wa kwake kwa hiyo moti na wakadedi pamoja. Tutahata husuyu star vi-major!

Related Stories