Msee akajaribu kuji mada!!

January 16 2014 2:33pm     0 1464

Photo Credit:Nairobi Wire   Tingua risto

Jana ngware hasapo sarit inasemekana kuna msee nifla alijaribu kujimada.Huyu mjama inasemekana yuko around 20s, alikuwa floor ya juu baze ya ma movie aka jump chini hadi hasapo baze panakuwaga na Java House.Baada ya ku jump haku dedi lakini alibaki akiwa na ma injuries kadhaa, hapo ndipo wadhii wali have kumrush hadi hosi. Wasee walikuwa hasapo karibu wanadai,alipo dunda sound ilitoka hapo ilikuwa kama ya mchuma.Baada ya wasee kuskia hiyo sound walihepea java ndani wakidhani ni kisanga kama yenye ilifanyika juzi ya waste gate.

Related Stories