Njaro ya kukaribia Sir God!

January 16 2014 10:20am     0 519

Photo Credit:Mail Online   Tingua risto

Pasi nifla anajulikana kama Lesego Daniel wa Rabboni Centre Ministries huko S.A, alifanya kitu ya ajaab sana. Alichapia wafuasi wake wamange nyasi ndio wakaribie God. Bila kuuliza maswala, wadhii walijipa shughuli na kudishi nyasi kama mifugo. Wakiulizwa, walidai njaro za husuyu pasi hufanya waks ndio maana wanatii akisema.

Related Stories