Vituko za Krisi...

December 18 2013 10:29am     0 451

Photo Credit:Standard Media   Tingua risto

Krisi inengi imekam na tuko rada sana kujaribu tusiharibu sifa. Ni kawa kucheki tabia za ajaab zikishow time kama kumanga bila breaks ama kunywaku keroro kiufala. Sana sana wadhii huamua kuhepa jiji ndio wajibambe zaidi na holiday. Sa utaget wamefika la-coasta ama Naivasha ama ata ocha. Alafu hao wa kuenda ocha ndio hutoa zingine za ovyo. Utapata msee anajifanya vile hawezi nywaku waba ya ocha ati si safe, ama kushinda akiulizia vile keroma ilipikwa na bado atahog kama hajawai kuget kwa maisha yake. Vituko ni kibao italingana na vile utayebi situation. Usisahau kujibamba!

Related Stories