Mniaju aka hepa mtaani juu ya ganji

January 21 2014 10:49am     0 1337

Photo Credit:Samuel Karanja   Tingua risto

Kuna mniaju flani hii area ya Gikosh alihepa mtaani juu ya 14,000 za rela wakwake.Huyu mniaju anasemekana alimada raima last year, na this year alikuwa supposed kujoin high school. Masake anadai amejaribu kumsakanya lakini hajafanikiwa kumget. Masake anadai ameskumia masanse hii risto ndio angalau wamsadie kusakanya huyu mniaju wake.

Related Stories