Mambo madem wa kampo hudu...

June 5 2014 10:57am     0 3707

Photo Credit:Google   Tingua risto

Risto kuhusu mamanzi wa kampo na zile tabia wako nazo, zimekosa kushangaza wasee. Sa kuna riba ilitokelezea weno, kuhusu madem  wa kampo wale wanapenda kuhanya mabuda.

Ukidhani wadhii wanafika uni kujisaidia kimaisha na masomo, kumbe hao wako kwa biz ya kujikinda ndio waget kudosika mapema mapema. Mavijana enyewe walipenda mashoti kwa life.

Dranya mjamo anaitwa Catherine Aluoch, aliamua kujitokeza na kudai yeye ni mmoja wa Campus Divas, na haoni blanda yoyote ya kuenda na mabuda ndio apate mkwanja. Andai ako na lifestyle mwenda na bado atazidi kwa hii njaro.

Lakini ukicheki venye anaishi, hakuna ujanja ako nayo ya kuhustle. Ata kwanza inashow tu venye ni msee hapendi kufanya waks na akona kasoro zinengi kibao.

 

Related Stories