Walami wanasaka roots zao...

June 6 2014 11:58am     0 510

Photo Credit:Google   Tingua risto

Kunayo series nira ya reality show, na husuko Oteto, imefanya wasee kupiga nduru, wakizusha vimwenda. Show yenyewe inadaisha kupatia wamatha wako na odumbo experience jamo ya ajaab.

Kawaida wasee hufika hosi na wale wengine wakiamua kuhave waniaju mtaani lakini lazima kwa presence ya doki. Sa kwa hisihi reality show, hao wamathe wanapelekwa kwa foree, alafu wanajifungua bila usaidizi ya mtu yeyote. Wanadai hii kuwa Nature Birth.

Blanda ni ati hanaku madoki ama hosi karibu na kukatokelezea complications zozote, both wamadha na watoi watakua endangered, juu ni experience iko na high risks.

Lakini ata critics wakizusha, show imeshawai views mita mbexes kupitia YouTube na hiyo mbana inapanda tu.

Related Stories