Dufo Mpararo mayadi ya India!

June 9 2014 11:05am     0 2012

Photo Credit:Google   Tingua risto

Kunazo njaro kibao za kujibamba ukiwa mtoi, na hubidi game nira zimetokelezea. Sana sana inakuanga njaro ya kukatiza kuboekea mtaani.

Sa na husuko India, mateeni wamesaka namna ya kupitisha idhaa, na inakaa walisettle na kujirusha mbele ya train juu ya kukosa imagination, ama labda juu washacheza game zote hadi zikaboo.

Hasapa nichi utayebi mbisha ya waniaju wako kwa bridge ya rive, yenye ikona reli, alafu wanatime zion ikishamuja ndio wanaruka, njaro ya dufo mpararo. Tofauti tu ni venye wanarisk maisha zao.

Lakini ni kama hatuwezi weka blame kwao, juu wadhii wabwaku pia huamua kuhepa mbele ya hiyo speeding train wakati wanataka kuvuka hiyo bridge, ndio wafike side ikona foot path.

Waniaju wale huduu hii stuff wanadai ni fun hadi wmeipatia jina ''game of chicken'' Yaani ule msee atalemewa kuruka yeseye anakua ngwetes. Na ata mavedi wamejaribu kuzima hii riba lakini hao watoi huhepa kila time.

Related Stories