Wera ya kurushia mikono...

June 10 2014 11:38am     0 549

Photo Credit:Google   Tingua risto

Juu ya udesperado ya kusaka waks, mara mob wasee hujipata wakikubali kuduu janta zenye haziwafai. Alafu utapata wadhii wakijipatia pole wakidai wera ni wera, bora inaingiza mkwanja, haijalishi chenye unafanya.

Lakini kama uko mayadi za Bangkok, Thailand, unaweza change mind haraka sana. Inasemekana wasee wale wamechorwa kama makonda kwa buu za Bangkok, hulazimishwa kung'ara adult diapers, juu hawana ruhusa ya kuenda loo.

Yaani hii ni ile level highest ya ukoloni. Itakuaje wasee kushinda waks masaa kinde na sita, alafu ata hawawezi chukua toilet break! Ata makonkodi wengi wamekuwa wasick juu ya kushinda na diaper chafu na hakuna msee anawajali.

Ungeweza survive kuvumilia hizi harsh conditions ama ungejitoa mapema mapema?

Related Stories