Colombia vs Greece

June 19 2014 11:25am     0 1560

Photo Credit:Jakes Steaks   Tingua risto

Colombia walianza na kismat kwa Group C, baada ya kurwada Greece dude tatu mtungi kwa game yao ya fao. Pablo Armero alitangulia kupatia Colombia dude ya fao na deflected shot after tu dakika kobole venye game ilianza. Alafu baadae  Teofilo Gutierez aka adisia dude ya seko na dabo ya close range after half time. And then James Rodriguez aka seal the win na dude ya thado game ikiwa injury time.


Imekuwa game moja solid sana kucheki venye Colombia wanagusa dimba, juu sahii wanahemea kumaliza among the last 16. Wakiwa wali mada runners-up to Argentina kwa qualifiers. Sasa preasure iko kwa attacking talents kama Gutierez na Rodriguez wanafaa ku produce madude baada Falcao, forward wa Monaco, kukaziwa kwa squadi juu ya knee injury. Falcao alikuwa na dude tisa(9) kwa raundi ya qualifiers campaign.


Monaco midfielder Rodriguez wakiwa kimoja na Cagliari pamoja na forward Victor Ibarbo walishinda wakishambulia defence ya Greece hadi venye walipata dude ndio wakatulia. Greece ilikuwa na wakati ngumu sana juu wali fail ku get back into the match.


Coach wa Greece alidai enyewe walihangaishwa sana na Colombia, lakini yeseye anajua atakama team yake ilishindwa lakini walikagusa. Na anajazika sana kuwa yuko World Cup na watajaribu sana ku improve kwa the next match na wana hope kushinda.


Naye Jose Pekerma, Coach wa Colombia anadaisha, kila msee ali du ile job ako supposed kufanya. Na bado akaseme hizo results ni poa sana na zina wa motivate ku perform even better for the coming match. Na anasema atakama ilikuwa mechi ya fao bado wata prove venye futa ya Colombia ni noma sana.


Tukicheki stats kiasi za hii mechi, possession ya Colombia ilikuwa 48% while Greece ikiwa 52%, alafu shots za Colombia zikiwa 13 na sita on target while Greece ikiwa na 11 alafu jamo on target. Corners; wote walikuwa same na Nei(4), alafu lastly fauls; Colombia wakiwa na 19 Greece ikiwa na 14.

Related Stories