NTV Uganda kubamba chuma moto…

June 19 2014 12:20pm     0 629

Photo Credit:Google   Tingua risto

Kuna parasha inago round ikidaishwa eti NTV ya nahusuko UG imebanniwa kuattend na kushow, functions na events zote za Prezo.

Hisihi noma iliwaangukia baada ya kushow, Prezo kama anagawa shake time budget ikichopiwa.  Presidential Press inadai NTV walikuwa inappropriate sana kuembarrass Orezo namna that. Alafu wakazidi kueleza ati Prezo Museveni hakuwa ametuna, lakini alikua kwenye meditation mbaya na ndio maana alikua ametinga macho.

Manze hii risto imegeuzwa vimajor, hadi gava ya UG ikona beef na NTV juu wanasemekana  wako na jokes sana. Sijui watajitoaje kwa hii nux. Unaona hii ni blanda kwa part ya NTV ama gava wako na risto tu zao?

Related Stories