Hanuman amebackā€¦.

June 19 2014 2:59pm     0 1588

Photo Credit:Mail Online   Tingua risto

Sijui kama unaweza kumbuka kipindi ya mapandhre, tulikua tunawatch tukiwa watoi, ya waseewalikua wanakaa kama monkey! Ilikua mwenda sana.

Sa kuna teeni flani, bado husuko India, anajulikana kama Arshid Ali Khan, mwenye anakuwa worshipped juu anakaa kama god wa kihindu anatambulika kama Hanuman.

Huyu mniaju akona kamkia ka 7inches na anabambika sana kukuwa nayo. Lakini condition yake inafanya hawezi tembea na inabidi apige raundi kwa wheelchair. Ma Locals huenda kwake kuombea mashida zake na wanadai huyu ‘Balaji’ hufanya wishes zao kukam true.

Related Stories