Mechi ya Costa Rica na Italy

June 21 2014 12:34pm     0 1664

Photo Credit:BBC World Service   Tingua risto

Sasa hopes za England kupenya kuingia roundi next imekatika baada ya Italy kugongwa na Costa Rica na dude moja mtungi. Dude yenyewe ilitingwa na Bryan Ruiz dakika kiasi kabla first half ikatike. Hii dude iliwang’a cross bar na wai chini, by kutumia goaline technology ili confirm ni dude juu ilikuwa ime pita line.

Italy ikiwa kwa group D imedunda hadi second place ikiwa nyuma ya Costa Rica, third place ni Uruguay juu ya goal difference alafu ya last ni England juu hanaku gameyeyote wameshinda.England ilikuwa inategemea sana Italy ishinde ili waweze kuwa na hopes za kuingia roundi next kama wangeshinda game yao next ikiwa ni Costa Rica.

Sasa Italy ita face Uruguay kwa game next, msee ali play role bigi sana ni gola wa Italy Gianluingi Buffon. Atakama alihata mechi yake ya fao ali dominate sana. Ingawaje Costa Rica ilikuwa ina control hiyo mechi tusana juu walikuwa wanashambulia Italy kwa wingi.

Ilifika idhaa ingine venye keeper wa Italy ilicheki wasee hawatingi aliamua kukuja kupiga coner coner but kibahati mbaya Celso Borges alihata neti baada ya kuipata na head. Alafu tunacheki Buffon  ilifika palace aka save short moja nom asana ilikuwa imeskumwa na  Christian Balanos. Ata ivyo noma haikuishia hapo, baada ya Balloteli kulostisha chance moja nom asana alipo pewa pass nom asana na Pirlo na aka chapa wide na kuhata target.

Hapo mwanzo tuna cheki Cambell alijaribu kuvuka defence ya Italy alipo jaribu kujiset ili a shoot ball ili interceptiwa na defender Giorgio Chiellini. Na mechi iliweza kuisha Costa Rica Jamo Italy ikitoka bila dude.

Related Stories