Origi kaokoa Belgium against ma Russian 1-0

June 22 2014 11:15pm     0 2112

Photo Credit:Getty Images   Tingua risto

Ka kuna vile wewe ni mtu 254 damu, lazima ukue unamesea husuyu angro... Divock Origi aliingia kama sub na kuende straight kuokoa Belgium kwa match yao ya leo against Russia kwa match ya Group H.

Origi mwenye aliboniwa Kenya but aka change citizenship to ya Belgium amekuwa akcheza pro huko mayolo miaka three sasa na hiyo time yote venye alikuwa bado mniaju aki play kwa teams za U15, U16 na U17 za Belgium, KFF ilikuwa ina waste time iki try kumhave arudi Kenya kuplayia Harambee Stars lakini wapi?

Match ya leo ilikuwa huko Estadio do Maracana kwa jiji ya Rio de Janeiro. Origi aliwahi pass kilin kutoka kwa Hazard na akawanga nduki ya right yenye ika wacha goalie wa Russia, Igor Akinfeev akizubu. Hiyo bao ilimuja minute ya 88th.

Related Stories