Unaweza kohoa mapinga kufanana na celeb?

July 15 2014 12:44pm     0 2029

Photo Credit:Google   Tingua risto

Claire Leeson akiwa na miaka mbao na four amekuwa akiget ‘her kimmy on.’ Kitu imefanya abaki na madeni kibao kuruka juu ya vile ni expe.

Anadai alianza hisihi transformation coz ya kukuwa bullied akiwa chuo, watoi wengine wakimtusi ong’ong’o.

Sa ati kitu ya fao kuduu, ilikuwa kubleach meno, hadi zikawa white kabisa. Alafu akarudi akawai boob enhancement ili jeggi zake kukuwa sambamba na za Kim Kardashian.

Hubidi anang’ara bum padding yenye ikona silicone base, inafanya rasa yake kukaa bwaku na ata ukigusa itafeel kama ile origi.

Anazidi kusema ametumia hadi $30,000 (KSh 270,000) kwa breast implants, hair extensions, spray tans makeup na cladi.

Na bado anajipanga kufanya surgery inengi ya dabas ya kwake. Ata hajali venye hana janta inaingiza mkwanja fiti, ama venye amekumbwa na madeni hadi siku atawai hiyo look anadai. Unaweza saidiaje huyu mbuus?

Related Stories