Ata kama ni kuingiza njeve…

July 18 2014 4:19pm     0 1733

Photo Credit:Google   Tingua risto

Mjamaa nifla alijipata amewashia jakes yake nare kama anatry kumada spider. Aliyebi hiyo spider kwa room jamo ya hao na bila kuwaste time, akachukua can ya spray paint na lighter, the rest ni hasara tupu.

Sielewi kugwaya yake iko level niga, juu ilifanya akawa fala pap. Sa akona hasara worth $40,000 yenye itaweza kurepair hiyo keja alafu bado mkwanja inengi kama $20,000 ya kuboti vitu nira za jakes.

Kama unakemba hii risto, tafadhali iwe funzo, usiwai jaribu kudedisha wadudu ukitumia nare. Heri kutumia slippers kupunguza hasara.

Related Stories