Team mob zinacheki ndechu Amero

July 25 2014 11:12am     0 387

Photo Credit:Bill Saporito   Tingua risto

Tunacheki team mob sana kutoka Europe zinapeleka pre-league matches zao Amero. On 23rd July 2014, Man U ilikuwa inagusa na Los Angeles Galaxy na wakaweza kuwatinga dude 7-0. Alafu pia Arsenal iko yardi, na watagusa game yao on August 2nd na MLS New York, tena bado Liverpool ilikuwa already ishafika na wakacheza bado na team nifla ya Amero na wakashindwa kwa dude moja mtungi.

And then team kama A.S.Roma ili spend summer yao yote Steto wakiwa wana train, na kugusa friendly matches na za husuko Amero.

Sasa atakama World Cup ilikatika futa haijaisha. Kabla this month ikatike patakuwa na tona nifla inajiita Guiness International Championship Cup. Hisihi tona tutacheki team kama Man U, ReAl, Liverpool, AC Millan, A.S.Roma, Man City na Olympiakos.

Game ya fao itakuwa August 2, kati ya Man U na ReAl, mechi tamu sana ya kuyebi. Game yenyewe itachezewa Michigan Stadium a.k.a ‘’The Big House’’. Stadi yenyewe inabeba seats za wadhii 109,901 na tiko zote zishabotiwa.

Wadosi wa hizi club wanadai reason ya kuenda Amero ni kusell maburungo zao pamoja na matiko. Mostly team za Europe zina market maburungo zao most Steto juu ya mkwanja.

Related Stories