Mbuus kuchujwa works juu ya kuwa msupa tusana ??

January 2 2013 3:28pm     0 1514

Photo Credit:BY AFP   Tingua risto

Huyu mbuus wa Amero anaitwa Melissa Nelson alichujwa works juu ya kuwa msupu tusana.....Kama wesewe ni mdonga, na unatinga wera na mbuus mkitu, akiwa mkitu sana unaweza mchuja janta na anatia janta yake vibest

Related Stories