Parasha za vako kufika Busia County…

July 30 2014 1:37pm     0 327

Photo Credit:Google   Tingua risto

Inasemekana kuna risto nifla ilitokelezea na husuko Nambale, Busia County, ikidai lorry tatu zinamuja, kama zimebeba mambuus kutoka area za Ukambani.

Usione venye machali walijitokeza ngware ya six, kwa hamu ya kuwai wifey fao kabla majamaa hawajatambua venye kunaenda!

Eti kwanza ilikua wapae mamzi mkao, gunia jamo ya mei na mkwanja kiasi ya thao kinde. Madesperado waliezeka kambi hasapo Sub- county Headquaters, na kuchill hadi magizani.

Lakini ilibidi wamerudi mtaani bila any, juu kumbe ilikua risto ya vako. Sa wadhii wale walifika hasapo, wanazusha wakidai wamebaki na madeni juu walikopa ndio wapate cladi nira ya kukam kuget mambuus wakao.

Ni venye hizi mayadi hazina made mama kunaenda aje?

Related Stories