Majeggi hazitakikani….

August 4 2014 2:39pm     0 2066

Photo Credit:Africa Xposed   Tingua risto

Ni kawa kupata madem wakiwa na maboobs. Ata ikapatikana mjamo mwenye anakosa, huwa nimatata sana. Nao kwa machali ni risto ya ajaab sana kujipata uko nazo. Kama si unono basi husemekana ni uchawi.

Lakini kunao mabro walimbi wamejipata kwa dilemma jamo kiblada vimajor. Hasawa, wakona ugonjwa inatokana na hormonal disorder yenye inafanya wanamea majeggi kama mambuus. Kwanza ukikemba hizo mbisha zao, ziko best beteta kuliko za mamanzi wengine.

Masa wa kwao alitemana nao na wamekuwa wakilelewa na bazenga wao, na husuko South Dominican Republic. Sa budao anadai yeseye ni hustler tu kwa hivyo hawezi afford kuwapeleka hosi wakafanyiwe plastic surgery yenye itawarudisha kukuwa mamboiyz tena.

Sema kuishi maisha ya trauma, juu ile kuchongolewa wanakapitia si chache. Sijui itabaki wamejikubali venye tu wako ama labda waangukie bahati mwenda, na msee atoe hiyo ganji ya kuenda hosi bana.

Related Stories